Depression ni tatizo kwa kila mtu!

Smile mask syndrome ni ugonjwa unaompata mtu ambaye analazimisha kutabasamu kwa muda mrefu. Maumivu usoni na sonona (depression) ni matokeo ya ugonjwa huo. Mara nyingi unawapata watoa huduma kwa wateja.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages