Buibui Dume.

Kipindi cha Kujamiiana Buibui dume humviringa Buibui jike ili asiweze kutoka Sababu kuu, Buibui Jike huwala Buibui wengine ikiwemo Madume, hivyo hufanya hivyo ili kuzuia asije kuliwa na tendo kufanyika kistaarabu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages