Aphantasia ni tatizo linalompata mtu katika Mfumo wake wa Fahamu,

Aphantasia ni tatizo linalompata mtu katika Mfumo wake wa Fahamu, ambapo anakuwa hana uwezo wa kuwa na Taswira Yoyote (Imagination). Mfano Ukiambiwa Mtu Fulani Amejigonga Kidole Cha Mwisho Mguuni, Wengi Huonesha Hisia Sababu Unakua Umevuta Taswira Ya Namna tukio linavyokua, Sasa Mtu Mwenye Aphantasia Yeye Hana Hiyo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages