Ammonia ilitumika kung'arisha Meno

Wakati wa ufalme wa Rumi, watu walikuwa wanasafisha meno na kuyafanya meupe kwa kutumia mkojo wa binadamu.
Ammonia iliyopo kwenye haja ndogo ndiyo ina uwezo wa kutoa uchafu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages