Robert G Heft, akiwa na umri wa miaka 17 mwaka 1958, aliibuni bendera ya Marekani inayotumika sasa hivi. Ubunifu huo ulikuwa sehemu ya kazi za mikono kwenye somo la stadi za kazi shuleni. Alipata "B-", lakini baada ya bendera hiyo kupitishwa kuwa bendera ya nchi, 1960, mwalimu wake alimuongezea maksi akampa "A".
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment