Vyakula Bora

Vyakula vinavyoweza kuimarisha misuli na mifupa hutia ndani protini, wanga na mafuta. Protini ni muhimu kwa ukuaji na matengenezo ya tishu za mwili. Matunda, mboga za majani na mafuta huupa mwili nishati pamoja na vitamini (A, D, E & K) & madini (kalisi/calcium, magnesi/magnesium) muhimu kwa misuli iliyojeruhiwa au kuzeeka.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages