Uvaaji tai umehusishwa na kupungua mzunguko wa damu kwenye ubongo kwa 7%

UTAFITI: Uvaaji tai umehusishwa na kupungua mzunguko wa damu kwenye ubongo kwa 7% ikilinganishwa na wasiovaa tai, hivyo inapendekezwa kulegeza tai wakati mwingine na sio kubana wakati wote.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages