Ubongo wa mwanamke hukusanya taarifa mara tano zaidi ya ubongo wa mwanaume.

Wanaume wanabidi kuwaruhusu wake zao kulala muda mrefu zaidi kuliko wanaume ili wanawake wapumzishe ubongo wao wenye kazi kubwa kuliko wa mwanaume. Mke bora na shupavu anahitaji kupumzisha ubongo wake vya kutosha!

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages