JE una mfahamu Sir Charles Spencer Chaplin? Kwa jina Maarufu anaitwa Charlie Chaplin,
Mwaka 1920 alirekodi filamu yake ya kwanza huyu Bwana na ilitoka rasmi mapema 1921, ilijulikana kwa jina la "THE KID". ⏬⏬
Cha kustaajabisha kwenye hiyo filamu alionekana mdada moja alikua ana ongea na mtu kwa kutumia
simu ya "smartphone". ⏬⏬
Ili hali tunaambiwa wakati huo simu za smartphone zilikua bado hazija gunduliwa. "Ilikuaje sasa.? " Ndo swali ambalo lipo kwenye vichwa vya wengi? ⏬⏬
Tuachane na hiyo tuje hadi mwaka 1998 wakati wa pambano la Mike Tyson alionekana mtu aliye shika simu "smartphone" na kurekodi lile pambano, baadhi ya duru za habari zinadai hadi kufikia mwaka 1998 smartphone zilikuwa tayari zimesha tengenezwa lakini hazikutoka rasmi ili hali vyanzo vingine vina eleza ziligunduliwa na kutoka rasmi mwishoni mwa mwaka 1999 na 2000. ⏬⏬
Sina hakika kundi lipi lipo sahihi tuachane na hiyo ya Mike Tyson mnamo mwaka 1970 kwenye mkutano wa kisiasa huko Marekani alionekana mtu ameshika simu smartphone ana rekodi. ⏬⏬
Swali ni Je Ilikuaje wawe na hizo simu za smartphone ili hali wakati huo zilikua bado hazija gunduliwa. ⏬⏬
Haya maswali yana tuleta hadi kwenye kitu kinaitwa (TIME TRAVELERS). ⏬⏬
Kwa Lugha nyepesi tuna sema WASAFIRI WENYE KUTANGAZA WAKATI /NYAKATI. ⏬⏬
Hawa Wasafiri Wenye Kutangaza Wakati
Wamekuja kutoka siku zijazo (miaka ijayo) kwa sababu kuu mbili: ⏬⏬
1) Ili kutuokoa kutoka kwetu(To move us from ourselves); na
2) kufanya mafundisho ya YouTube(To make YouTube confessionals). ⏬⏬
Mnamo mwaka 2000, kusafiri mara kwa mara kulionekana kutembea kati yetu.
Alikuwa yupo mwaka wa 2038, lakini alirudi hadi mwaka 1967 alikua ni Bwana Chevy Corvette.
⏬⏬
Safari yake ya wakati mzuri ilivunja mvuto kwa kutumia mfumo wa ubinaji wa pacha.
⏬⏬
Msafiri huyu kwa wakati wa leo alifanya hivyo ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini U.S Alifanya hivyo kwa kuwasiliana na jumuiya ya upelelezi ya U.S na kuwashawishi kuruhusu 9/11 kutokea. ⏬⏬
Na ilifanya kazi. Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya mwaka 2008 vilizuiliwa, na historia ya ulimwengu ikaingia kwenye ratiba tofauti.
↔↔↔↔↔
Nini kinacho sababisha wasafiri wa wakati (Time travelers) ➖➖➖➖
Itaendelea

No comments:
Post a Comment