Tecno WX4 PRO


Simu ya Tecno WX4 PRO ni moja kati ya simu ambayo ni juu ya simu ya toleo la simu ya Tecno WX4, simu hii ni bora sana kwa wale wanaopenda simu za tecno za bei rahisi na simu hii inauwezo mzuri wa RAM pamoja na uwezo wa 》Mtandao wa mtandao wa 4G.
》Sifa za Tecno WX4 PRO
》Uwezo wa Kioo – 5-inch Touch 》Screen Display, 720 x 1280 pixels (294ppi)
》Uwezo wa Processor – 1.25GHz 》quad-core CPU with a 2GB of RAM
Mfumo wa Uendeshaji – Android 7.0 (Nougat)
Ukubwa wa Ndani – GB 16 unaweza kuongeza kwa memory kadi ya GB 32
》Uwezo wa Kamera – Kamera ya Nyuma Megapixel 8, Kamera ya Nyuma Megapixel 8, inayo flash kwenye kamera ya mbele na Nyuma.
》Uwezo wa Ulinzi – Inayo sehemu ya Fingerprint Sensor (Rear)
》Uwezo wa Network – 4G, 3G pamoja na 2G
》Uwezo wa Battery – Battery yenye uwezo wa 2800 mAh ambayo inatoka (Removable Battery) yenye uwezo wa kudumu na chaji kwa siku moja ikichajiwa vizuri.
Bei – TSH 350,000 – 250,000 Inategemea na Utakapo Nunua
Inapo Patikana – Kwenye duka la Tecno kariakoo
NUNUA WX4 (SIO PRO) KWA TSH 196,000

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages