Tecno Phantom 8


Tecno Phantom 8 ni moja kati ya simu za kisasa sana sana, simu hii inauwezao mkubwa sana pamoja na sifa ambazo zinafanya simu hii kuwa ya kipekee sana kwenye list hii, simu hii mbali na kuwa bora kwenye upande wa kamera lakini pia simu hii ni bora sana kwenye upande wa sifa. Hivyo basi kama unataka kuwa wa kisasa na kutumia simu yenye uwezo mkubwa kwenye kila panda basi simu hii ya Tecno Phantom 8 ni simu bora sana kwako.
Sifa za Tecno Phantom 8
》Ukubwa wa Kioo – Inch 5.7 huku ikiwa na resolution ya 1920 x 1080, pamoja na kioo chenye teknolojia ya IPS.
》Mfumo wa Uendeshaj i – Android 7.0 Nougat with HiOS 3.0.
Uwezo wa Processor – Octa core 2.6 GHz huku ikiwa imetengenezwa kwa teknolojia ya MediaTek Helio P25.
》Uwezo wa RAM – GB 6.
》Ukubwa wa Ndani – GB 64.
》Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G, 4G.
Kamera ya Mbele – Megapixel 20, Huku ikiwa na Dual-LED flash.
Kamera ya Nyuma – Ziko mbili moja ikiwa na Megapixel 12 na nyingine yenye Megapixel 13 zote zikiwa na teknolojia ya Telephoto for 2x zoom.
》Ulinzi – Inayo Fingerprint iliyoko kwa nyuma.
》Uwezo wa Battery – 3500 mAh huku ikiwa imetengenezwa kwa teknolojia ya Li-Io
Bei – TSH 900,000 – 800,000 Inategemea na Utakapo Nunua
Mahali Inapo Patikana – Duka la Mlimani City, Duka la Tecno Kariakoo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages