Tecno Camon CM


Tecno Camon CM ni moja kati ya simu za kisasa sana kutoka kampuni ya Tecno, simu hii inakuja na muundo mpya na wakuvutia sana huku ikipendezeshwa na kioo cha Full Display ambacho kianuwezo wa kuonyesha rangi zaidi ya milioni 16. Kama unatafuta simu ya kisasa yenye muonekano mzuri basi Tecno Camon CM ni simu bora sana kwako.
Sifa za Tecno Camon CM
》Ukubwa wa Kioo – 5.65-inch yenye resolution ya 720 x 1440 pixels, Full Vision capacitive touchscreen
》Uwezo wa Network – 2G/3G/4G
Kamera ya Nyuma – Megapixel 13 yenye FF pamoja na Ring-Flash (Quad-Flash)
》Kamera ya Mbele – Megapixel 13 yenye FF, pamoja na Dual-Flash
Uwezo wa Processor – Quad-Core 1.3GHz yenye uwezo wa 64-bit MEDIATEK MTK6737H
》Uwezo wa GPU – Mali-T720
》Ukubwa wa Ndani – GB 16 inayoweza kuongezeka kwa memory card hadi 128GB
Ukubwa wa RAM – GB2
Mfumo wa uendeshaji – Android 7.0 Nougat yenye HiOS 2.0 User Interface
》Uwezo wa Bluetooth – V4.1
》Uwezo wa Battery – battery ya Li-Polymer yenye ukubwa wa 3050mAh, pamoja na teknolojia ya Fast Charging.
Bei – TSH 500,000 – 450,000 Inategemea na Utakapo Nunua
Inapo Patikana – Kwenye Duka la Tecno Mlimani City, Duka la Tecno Kariakoo

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages