Story fupi ya kushangaza

Mwaka 1859 sungura 24 waliachiwa kwenye msitu mmoja wa Australia. Walitolewa Uingereza na hapakuwa na sungura kabla ya hapo. Mwaka 1920 walikuwa wamefikia bilioni 10. Njia mbalimbali zimetumika kuwapunguza na leo hii wapo zaidi ya milioni 200.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages