Snake Venom Ndio Bia Yenye Kilevi Kikali Zaidi Kupita Bia Zote Unazozifahamu Duniani, Ikiwa Na Kilevi Kiasi Cha 67.5%. Chupa Moja Huuzwa Mpaka Kufikia Tsh 200K. Hautakiwi Kunywa Chupa Yote, Sababu Ukifanya Hivyo Unaweza Kufa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment