Hautakiwi Kunywa Maji Ya Chumvi (Baharini) Ni Kwa Sababu, Figo Haiwezi Kuyafanyia Kazi Maji Ambayo Yamezidi Chumvi Ya 2%. Maji Ya Bahari Yana 3% Na Zaidi Ambapo Kama Utakunywa Figo Hutumia Maji Mengine Yaliopo Ndani Ya Mwili Na Huchukua Kiasi Kidogo Cha Chumvi, Hivyo Utazidi Kupata Kiu Zaidi Badala Ya Kujitibu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment