Ng'ombe kutoka Marekani aliyevunja rekodi ya kuwa na urefu wa 193.04cm (6Ft 4inch)

JIFUNZE ZAIDI?
# Daniel ni jina la Ng'ombe kutoka Marekani aliyevunja rekodi ya kuwa na urefu wa 193.04cm (6Ft 4inch) ambaye alikufa June 2018. Awali rekodi hii ilikuwa inashikiliwa na Blosom jina la Ng'ombe aliyekuwa na urefu wa 187.96cm (6Ft 2 inch) ambaye naye alikufa June 2015.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages