ng'ombe aliyevunja rekodi ya kuwa na umri mkubwa zaidi Duniani.

JE WAJUA?
# Big_Bertha ni ng'ombe aliyevunja rekodi ya kuwa na umri mkubwa zaidi Duniani. Alizaliwa Machi 17, 1945 huko Ireland na kufariki December 1993 akiwa na umri wa Miaka 48. Pia ndiye ng'ombe aliyevunja rekodi ya kuzaa Sana akiwa amezaa ndama 39 mpaka anakufa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages