Mtu huanza kujipenda

UTAFITI: Mtu huanza kujipenda kati ya umri wa miaka 4 na 11, huongeza sana na kuanza kushuka tena kati ya miaka 11 na 15, huongezeka tena hadi kufikia miaka 30 na baada ya hapo hupungua tena, lakini ikifika miaka 60 mtu ndio hujipenda kuliko umri mwingine hadi kufikia 70.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages