MK UTRA PROJECT - 2
Mradi Huu Ambao Kwa Sasa Una Aminika Kuendeshwa Na Jamii Za Siri Ni Maarufu Kwa Jina La "Demon Controlled Mind" Ina Elezwa Lengo la programu hii Sio Mahususi Sana Kwa Muathirika Wa Programu hii bali Ni kwa Wanao Mfuatilia Muathirika.
Mradi huu Una wahusisha Watu Maarufu (Celebs) kama wasanii wa Mziki, Waigizaji, Wachezaji, watu wa fasheni, wana siasa n.k
Kifupi Ni watu wenye ushawishi katika Jamii zao.
Ina elezwa watu maarufu wame kuwa wakitumiwa katika programu kwa makusudio fulani, Kuna Ambao Wana tumiwa huku wakiwa wana jielewa na wengine Wana jikuta tayari wamesha ingizwa kwenye mradi huo, Ina elezwa kwamba kwa wale ambao Wana kataa kuingizwa kwenye programu hiyo Wana tengenezewa Makosa mbali mbali na kupotezwa katika karia zao na kuswekwa jera.
Hawa Ambao Ni mind Controlled Wana haki tu katika miili yao lakini akili zao zina endeshwa na Demons ndo maana utaona mtu ana fanya mambo ya ajabu ambayo Una baki kujiuliza ime kuaje hadi fulani ana fanya hivi? Kwetu tunaweza kuona Ni Jambo La aibu au la kumdharirisha lakini kwao Wana ona Ni Jambo La kawaida tu lakini Kuna wakati ambapo akili zao zina rudi Wana jishangaa kwa wanayo yafanya.
Kuna Kitu Kinaitwa IDOL au kwa maneno mengine ROLE MODEL kwa kawaida Binadamu tuna kawaida ya kuwa na watu ambao wame tutangulia kimafanikio nao wanakua mifano yetu ya kuwaiga kibaya zaidi tuna kawaida ya kuwaiga kwa kila kitu kwa mfano ana fanya jambo fulani Ni rahisi sana kwetu kiiga.
Hilo ndo kusudi kuu la "Demon Controlled Mind" sio kuharibu tu akili ya mtu wanaye m control bali hata kwa sisi ambao tuna mfuatilia kwa karibu yule mtu.
Wakati mwingine hawa watu unaweza kudhani kama wamekua cloned kumbe Ni Mind Controlled tu.
Kuna wasanii wakubwa Wana tajwa kupitiwa na Upepo huu wa DEMON CONTROLLED MIND kutokana na mambo yanayo yafanya wakati katika maisha yao ya kila siku au Wakiwa majukwaani, kwenye mitandao mbali mbali Ya Jamii Na Sehemu Nyingine mbali mbali.
Sehemu Inayo fuata tunaona Baadhi ya hao watu maarufu ambao Ni Demon Controlled Mind.

No comments:
Post a Comment