Mbuzi Damas

# Mbuzi_Damas
Umewahi kuwaza kumfuga mbuzi awe mlinzi wako? Kama ambavyo wengine hufuga mbwa ama wakati mwingine paka? # Mzee_Antony Mwandulami mkaazi wa Mkoa wa Njombe Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania anafuga mbuzi kama mlinzi wake. Anasema mbuzi huyo ambaye amefanya kazi kwake kwa miaka 19 sasa humpa taarifa juu ya kila mtu mbaya anayetaka kuja kwake na kumdhuru na ameweza kumnusuru dhidi ya majanga mbalimbali.
Ukiachana Na Uwezo wa Mbuzi Damas Kufungua Maji Kwenye Bomba Pia Mbuzi Damas anaweza kukoroga Chai Akanywa..."

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages