Mambo Usiyo yajua kwenye Karata

Karata 4 za K (Kings) zina picha za wafalme wanne wa zamani.
KISU 》Augustus wa Rumi (Ina shoka na kiganja kikiwa kimeinuliwa kuwakilisha saluti iliyoanzishwa na Augustus)
KOPA》Charlemagne wa Franks (Hana moustache na ana nguo ya gharama yenye dhahabu kila mahali kuwakilisha utajiri wake)
MAVI》Alexander the Great wa Macedonia (Ina tufe la dunia kuwakilisha maeneo aliyoyachukua wakati wa utawala wake)
SHUPAZA》Daudi - Israel (Akiwa na upanga mkubwa aliouchukua kwa Goliath)

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages