Jinsi ya Kuhack Simu

LEO NITAWATAJIA APPS TATU TU, APPS ZINGINE NITAWAPA KWENYE MAKALA ZIJAZO

1.AndroDumper
2.DroidSheep
3.Hacking Sql Injection

》》ANDROdUMPER
Unataka kuhack WI-FI ya rafiki yako?, basi app hii itakusaidia sana na utaweza kuhack password ya wifi yoyote ile kiurahisi kabisa,
App hii ukiitumia kwenye simu ya android version 5.0+ haina haja ya kuroot simu yako,
Lakini kama unatumia android version ya KItKAt na za chini yake itakupasa kuiroot simu yako ili uweze kuitumia app hiyo.
unaweza kuidownload app hiyo HAPA

》》DROIDsHEEP
App hii itakuwezesha kuona vitu vinavyoendelea kwenye simu ya jirani yaki ikiwa tu mmecoonect simu zenu kwenye wifi moja yani mko kwenye network moja.
unaweza kuidownload app hiyo HAPA

》》HACKING SQL INJECTION
(WANAOPENDA KUBADILISHA MATOKEO YAO SARIS HII INAWAHUSU)
Kama ulishawahi kujaribu kuhack website basi utakuw sio mgeni sana na app hii, app hii inakuwezesha kuhack website na ukaingia kwenye database ya muendeshaji wa website hiyo na ukabadilisha kitu chochote unachotaka,
lakini app hii haitokuwezesha kuhack moja kwa moja bali itakufundisha nia za kutumia ili uweze kuhack , ni kama kitabu tu chenye kurasa kadhaa ambazo ukichukua muda wako na ukazisoma lazima utazipenda.
unaweza kuidownload app hiyo HAPA
Itaendelea..
  
Ukitaka kusoma mengi kuhusu hacker Download App hii
HAPA

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages