Je wajua?Zipo aina 3 za Mataruma

Je wajua? Zipo aina 3 za Mataruma,
ya Mbao
,Chuma
na Zege, lakin Mataruma ya Zege ni imara na ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa-SGR kote Dunian, Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages