Je, Wajua?
Nchini Japan kuna vyoo ambavyo vina sehemu ya kuweka sauti ambazo zinakuwa kama maji yanatiririka ili kuzuia sauti za mtu anayejisaidia zisisikike nje.
Je, Wajua? Nchini Japan kuna vyoo ambavyo vina sehemu ya kuplay Sauti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment