Hackers Wanaovyo iba fedha Bank

Kuiba pesa kwa kutumia Nta ya mshumaa.
Hii ni mbinu ya kizamani kidogo lakini bado kwa nchi zinazokuwa inaweza kufanya kazi kwa asilimia kadhaa.
Chukua kadi yoyote ya ATM, iwe valid ama la lakini iweze tu kuingia kwenye mashine ya ATM. Chukua mshumaa mzito, uwashe kisha kinga ule nta unaomwagika halafu paka kwenye 'Panel' ya kadi ya ATM (Hiki ni kile kipande kidogo cha bati kilichopo kwenye kadi ya ATM kifananacho na kadi ya simu). Kwa kufanya hivi mashine ya ATM itaendelea kusoma ile kadi lakini itakua imepoteza taarifa zake za awali.
Baada ya hapo nenda kwenye mashine ya ATM ingiza hiyo kadi, kisha bonyeza default pin ambayo kwa asimilia 98 ya ATM nyingi huwa ni huwa ni '0000'.
Baada ya hatua hiyo utajikuta automatically smile zito linajaa usoni kwako. ATM itakutemea pesa kama ulivyoiagiza (Kumbuka benki nyingi huwa zinaweka kima cha juu zaidi cha kutoa pesa kwa njia ya ATM_ Kwa njia hii huwezi kupitiliza kiwango hiko).
Katika zoezi hili si jambo la kushangaza ATM itakapokupa ujumbe kuwa 'Card not Smart'. Sababu hapa ni kuwa Technologia inakuwa kwa kasi kubwa sana, hivyo unakuta mashine nyingi za ATM zimekuwa 'upgraded' na kushindwa kukubali kusoma kadi yako yenye mshumaa.
Hii mbinu inafanya kazi kwa ATM ambazo hazijawa upgraded.
Ila nchi nyingi washaigundua njia hii kwahiyo kwa sasa mashine nyingi haziibiwi kwa njia hiyo
Endelea kusoma... ili uzijue njia nyingine

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages