EROTIC APHYXIATION - 2
Hii Tabia Ina kuwa Kama ya kulevya hivi yaani ina kuwa ina kuendesha badala ya wewe kuindesha, Leo Mtu ame bana pumzi kwa bahati mbaya, kutokana na kitu alicho kipata wakati alipo bana pumzi kesho atabana kwa kukusudia, Napo atataka afurahie zaidi ataomba akabwe shingoni au wakati mwingine ana jikaba mwenyewe.
Mara utaanza kabla ya tendo Una jifunga kwanza kamba mwili mzima ili unapo fika ule wakati uwe Una zikaza tu, Mwisho watu Wana fanya hivyo wakiwa wame simama kwenye viti na kujifunga kamba shingoni kama mtu anae taka kujingonga kisha ukifika ule wakati Wana toa vile viti.
Kwa wale wanao penda kufurahia penzi binafsi (Masturbation) hao ndo utakuta mtu kafa katika mazingira ya kutatanisha unaona kamba ime fungwa tokea mlangoni mtu kafia konani.
Kuna madhara Mengi yatokanayo na hiki kitu tuanzie magodo tuende kwenye makubwa, Kwanza Neurontransmitters zina kuwa Addicted ukisha zoea kufanya hizi hauwezi kufurahia tena mtindo wa kawaida wa kukutana kimwili, Matatizo ya Kisaikolojia, kisaikolojia tuna sema kitu ambacho Kina piga kambi kwa muda mrefu kwenye akili ya Binadamu ni kile ambacho Kina mfurahisha sana au kina muumiza sana.
Sasa ikitokea Mawazo yana kuzidia mara Baada ya kurejesha kumbukumbu mtu ana kuwa tayari kufanya chochote hailajalishi yupo wapi na watu wa mtindo huu wanakua Negative sana kwa mwanaume utakuta mtu ana baka wanawake wao hapa ndo Wana chizika kabisa Wana fanya mambo ya ajabu sana.
Hiki kitu pia kina sababisha Brain demage, Cardiac Arrest (heart Attack), Blood pressure ni rahisi sana mtu kupata mshituko wa moyo, Shinikizo la damu au kuwa chizi, mtu unavyo kabwa shingoni au kufungwa kamba shingoni Una zuia oksijeni na damu kufika sehemu za ubongo pia Una athiri mzunguko wa damu kutokana na pressure kuwa juu.
Wakati Una fanya hivyo kuna kitu kinaitwa cardiac arrhythmia hiki kina sababishwa na kukosa pumzi baada ya kukosa pumzi inatokea Irregular heartbeat (Mapigo Ya Moyo Kwenda Kasi).
Unapo jifunga kamba shingoni unaongeza pressure kwenye Carotid Artery (Cluster of chemoreceptors)
zinazo patikana kwenye carotid body pressure ikizidi kwenye carotid body mtu ana zimia au kupoteza maisha.
EROTIC APHYXIATION - 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment