》》Sehemu maarufu kama katikati ya Dunia (Ulimwengu) ipo katika jiji la Tulsa huko Marekani ni alama ya duru ndogo ya saruji katikati ya mduara mkubwa wa matofali.
Sio mengi kwa kuyangalia, lakini ukiyangalia hakika uwezi kuyamaliza hasa ukitaka kufahamu idadi yake haki uta kesha.
"Katikati ya Ulimwengu" ni jambo lisilo julikana sana lenye maajabu ya kuhifadhi sauti.
Ikiwa uta simama katikati ya mduara na kuongea, sauti itajirudia mara kadhaa zaidi kuliko ilivyo ongea.
Ni sauti ambazo zina jirudia kwa mtindo wa mwangwi.
Ina sadikika Kuna kitu ambacho Kina paza sauti kiasi cha kwenda mbali sana.
Lakini Cha Ajabu mtu aliye nje ya kiduara kamwe hawezi Kusikia sauti yako hata ukipaza sauti yako kiasi gani.
Upoto shwaji huu wa sauti una athiriwa na athari kubwa sana.
Kama ilivyo kwa Ziwa George ambalo nalo lina Maajabu yanayo fanana na hayo hii ina weza kusababishwa na ACOUSTICAL ambayo inaonekana kupinga sheria za fizikia athari inadhaniwa husababishwa na sauti inayo onyesha ukuta wa mviringo, katika kesi hii sauti upanda kwa karibu.
Hata hivyo, ingawa watu wengi wame jifunza kitu kinacho sababisha upotoshwaji huo usio wa kawaida lakini hakuna majibu ya wazi.
Huenda ina sababishwa na upotoshaji wa asili, ni mahali pa ajabu sana.
》》MWISHO.!! .
TRIANGLE ipo Marekani, CENTER OF UNIVERSE ipo Marekani, hawa wamarekani Bwana. .
CENTER OF UNIVERSE KATIKATI YA DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment