Bomu La Nyuklia Mwezini

Mwaka 1958 Marekani Kulikua Na Mpango Wa Kutuma Bomu La Nyuklia Mwezini Ambapo Mlipuko Huo Ungeweza Kuonekana Hadi Duniani. Yote Ilikua Ni Kutaka Kuwaonesha Urusi Namna Gani Walivyo Bora. Mwaka 1959 Mradi Huo Ulisitishwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages