Asili ya Neno bluetooth na nembo yake


》Jina la Bluetooth linatokana na mfalme wa zamani wa Denmark, Harald Bluetooth ambaye aliunganisha falme ndogo ndogo na kuunda Denmark ya sasa. Hivyo Bluetooth inawakilisha uunganishwaji.

》Nembo ya Bluetooth inatokana na herufi mbili za kwanza za majina ya Harald Bluetooth. H na B, kwa herufi za Viking.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages