Wataalamu wa lishe wanapendekeza watu wazima watumie kikombe kimoja na nusu au viwili vya matunda na vikombe viwili hadi vitatu vya mboga za majani kwa maana vyakula hivi vina faida lukuki pamoja na kinga dhidi ya maradhi ya moyo na kisukari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment