Wanawake wanaofanya kazi kwa masaa 45

UTAFITI: Wanawake wanaofanya kazi kwa masaa 45 au zaidi kwa wiki wana uwezekano mkubwa wa kupata Kisukari kwa 63% ikilinganishwa na wale wanaofanya kazi kati ya masaa 35 na 40. Utafiti umedai wanaume hawaathiriki chochote hivyo wanaume tupige kazi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages