UTAFITI: Watu wanaokula mlo wa usiku (dinner) mapema kabla ya saa 3

UTAFITI: Watu wanaokula mlo wa usiku (dinner) mapema kabla ya saa 3 usiku au masaa mawili kabla ya kulala wanapunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti na tezi dume kwa 20% ikilinganishwa na wanaokula baada ya saa 4 usiku na kulala muda mfupi baada ya kula.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages