upasuaji mkubwa nchi zinazoendelea za Afrika huongeza hatari ya kifo

Utafiti wabaini kufanyiwa upasuaji mkubwa nchi zinazoendelea za  Afrika huongeza hatari ya kifo, kutokana na miundo mbinu & uhaba wa wataalamu. Mmoja kati ya watano wanaofanyiwa upasuaji hupatwa na madhara wakati asilimia 5.6 hufa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages