UNLOCK HUAWEI MODERM ITOKE AIRTEL, TIGO, AU VODA ITUMIE HALOTEL SASA TEL TTCL NA KADHALIKA


Hapa tunatakiwa kuwa na Moderm Pc yetu pia tuwe na Application ya ku calculate IMEI namba za moderm Husika kisha tuwe na Application kwa ajili ya Ku unclok Mod Naomba tuwe makini kidogo hapa kuna Application inaitwa  MODERN UNLOCKER
Hii ndo source ya sisi kuweza kufanya kazi yetu kwa urahisi zaidi
Unatakiwa kuidownload katika Mashine yako baada ya kuipata hiyo Fanya Extraction maana ake kuitoa kwenye folder la ziped folder mara nyingi hizi app za kufanya Firm ware huwa zinafungiwa kwenye Folder hizi
Baada ya kufanya Unziped Istall application yako
Ikisha fanya installation ifungue utakutana na Menyu moja wapo inasema Calculate your IMEI number erm yetu
Imei Number ziko Nyuma ya Moderm yako Mara nyingi huwa zinaanza na Namba 35 copy hiyo kisha ingiza pale kwenye eneo uliloekezwa au linasema IMEI number baada ya hapo fanya haya
Baada ya Kukopi IMEI Number  kuna button kwenye application yako imeandikwa Calculate Click Calculate itafanya calculation ikimaliza itaandika done
Baada ya hapo chomeka moderm yako ikiwa na laini ya mtandao tofauti na huo husika Mfano ya Airtel weka laini ya Tigo ama unaoutaka
Ukishachomeka moderm yako fanya unlocking ipo upande wa juu wa application yako
Ukiwa na zile imei number baada ya kufanya calculation ulizopewa ndo unlock code za moderm yako sasa itaombahizo kisha press unlock subiria sekunde kadhaaitaleta message congratulation your modern has been unlocked

Funga app fungua moderm kwenye setting Network weka apn mpya kama unavyoingiza za simu ipandishe 3g baada ya kuweka apn save setting kisha connect moderm yako

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages