Tangawizi!

Tangawizi hupendekezwa kuondoa kichefuchefu. Ina kemikali ziitwazo beta-carotene and capsaicin ambazo husaidia kinga ya mwili. Tafiti 60 za hivi karibuni zimedai husaidia pia kuondoa kitambi (obesity), husaidia pia matibabu ya magonjwa ya moyo na kisukari.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages