Unywaji kahawa kila siku unahusishwa na kuongeza umri wa kuishi. Watafiti wamedai wanaokunywa vikombe 2-3 kila siku wanapunguza hatari ya kifo kwa 12% ikilinganishwa na wasiokunywa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Copyright © Big Smile Technologies . All Rights Reserved.
No comments:
Post a Comment