Sonona (depression)

Sonona (depression) kwa watoto na vijana huwa na sura tofauti zaidi ya huzuni. Dalili zinazojitokeza ni pamoja na kushuka ufaulu, ukali/hasira ya karibu, uchovu, kujitenga, kutaka kujidhuru & malalamiko mengi hasa kudai kuumwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages