Nanasi Hutoa Kemikali ya Bromelain

Nanasi Hutoa Kemikali ya Bromelain ambayo ni Enzyme wanaovunja Vunja Proteini Katika Miili Yetu. Kwa Sababu Miili Yetu imeundwa Kwa Proteini Hivyo Nanasi Hujaribu Kufanya Mmeng'enyo wa Proteini hiyo. Na Ndio Sababu Kama Ukila Nanasi Ambalo Bado Halijaiva Vizuri Huweza Kuchubua Mpaka Ulimi Wako.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages