Maziwa si dawa ya vidonda vya tumbo.

Maziwa si dawa ya vidonda vya tumbo. Huleta unafuu kwa muda tu na baada ya hapo yanasababisha tumbo kutengeneza acid nyingi na kukuumiza zaidi ikiwemo vidonda kuchimbika zaidi na hata kutoboka. Hivyo, ukiwa na vidonda vya tumbo, usinywe maziwa ya aina yoyote!

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages