maumivu wakati wa hedhi

Karibu nusu ya wasichana/wanawake wote duniani hupata maumivu wakati wa hedhi na karibu 15% hupata maumivu makali. Maumivu makali huathiri utendaji wa kawaida wa wanawake hao kutia ndani kutofika kazini au shuleni.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages