Matatizo ya nguvu za kiume

Matatizo ya nguvu za kiume yanaweza kumkuta mwanaume yeyote bila kujali anapendelea mapenzi ya jinsia moja au la. Inakadiliwa mwanaume mmoja kati ya kumi ana tatizo la nguvu za kiume kama kufika haraka kileleni isivyo kawaida au kutosimamisha uume vizuri.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages