Nchini Australia wamefanikiwa kutengeneza mashine ya kujiua! mashine hiyo inaitwa "SARCO" imetengenezwa ili kuwasaidia wale wanaotaka kujiua wasisikie maumivu kama wale wanaokunywa sumu au kujinyonga..!
Muhusika anaye taka kujia ataingia ndani ya mashine hiyo kisha atabonyeza kitufe maalumu akiwa ndani ya mashine baada ya hapo gesi ya nitrogen itaanza kujazwa ndani ya
mashine mpaka pale oksijeni itakapopungua na kubaki 5%
Ambapo muhusika ataanza kusikia kizunguzungu kisha kupoteza fahamu na baada ya muda kidogo kufariki..!
Mpaka sasa mashine hiyo imeshatumika kuondoa maisha ya watu wanne inchini AUSTRALIA ambapo nchini humo jambo la kujiua sio kosa kisheria kwa sasa..!
MASHINE YAKUJIUA YAZINDULIWA AUSTRALIA?.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment