Mambo Mabaya Ambayo Mkazo (Stress) Hufanya kwa Mwili Wako: Hufanya ngozi kuonekana mbaya! Watafiti wanadai mkazo huamsha matatizo kama chunusi, upara na kizema (mzio unaofanya ngozi kuvimba). Na ikiwa mtu ana matatizo haya toka mwanzo yanaweza kushamiri zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment