Ukiweza kutumia gilasi/bilauri moja ya maji badala ya soda moja husaidia kuepuka kalori 150 na kwa wiki nzima unaweza kuwa ume epuka kalori zaidi ya 1000 kitu kinachotafsiri kupunguza uzito wa paundi 15 (kilo 7) kwa mwaka bila mazoezi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment