Kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Calfornia

Kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Calfornia San Diego, mazoezi mepesi kama kuendesha baiskeli, kutembea au kufanya usafi nyumbani kwa wazee huwasaidia kupunguza hatari ya kifo na kuishi muda mrefu zaidi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages