Kukosa hamu ya kujamiiana

Kukosa nyege (hamu ya kujamiana) kitaalamu loss of libido/sex drive. Mara nyingi tatizo hili huhusishwa na vitu kama ugomvi kwenye mahusiano, mkazo (stress), wasiwasi (anxiety) na madhara ya dawa Fulani alizotumia mtu kujitibu au kujilevya.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages