kujibu barua pepe za kazini wakati ukiwa nyumbani

Ingawa kujibu barua pepe za kazini wakati ukiwa nyumbani kunaweza kumpendeza zaidi mkuu/mwajiri wako ila tafiti zinadai watu wanofanya mambo ya kazini wakiwa nyumbani wanapatwa na matatizo ya kihisia kama wasiwasi mwingi (anxiety) na kuathiri mahusiano yao na watu wa karibu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages