Kuangalia video za kutisha hufanya mwili kutokeza homoni

Kuangalia video za kutisha hufanya mwili kutokeza homoni ya adrenalini inayomuandaa mtu kupambana au kukimbia. Homoni hii hufanya moyo kwenda mbio sana na kutumia nguvu ya mwili hivyo husaidia kupunguza uzito pia!!

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages