Kitanzi ni kifaa kidogo cha plastiki chenye vinyuzi mwishoni ambacho huwekwa kwenye mji wa mimba ili kuzuia mimba. Kitanzi kinafanya kazi kwa kuua mbegu zinazofika kwenye mji wa mimba. Kinaweza kutumika kama njia ya dharura ya uzazi wa mpango ndani ya siku 5 baada ya ngono.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment