Kabila la Kreung.

Kabila la Kreung la nchini Cambodia wakina Baba huwajengea vijumba maalumu Mabinti zao pindi wafikapo umri wa kuolewa kwa ajili ya kukutania kimwili na Wanaume mbalimbali mpaka pale Binti atakapopata anayemfaa, Kreung wanaamini hiyo ndio njia sahihi ya kumpata Mume.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages